Majadiliano:Ndoa katika Uislamu
Mandhari
Kwa bahati mbaya yote kopipaste
[hariri chanzo]Makala yote ni kopi-paste kutoka HAPA, na ZAIDI HAPA. Ilhali ni mchango wa kwanza wa mchangiaji mpya naona tumwachie wiki 1 au mbili asahihishe kama anaelewa, Kama sivyo, ifutwe. Kipala (majadiliano) 13:29, 26 Oktoba 2016 (UTC)
- Naona mchangiaji amerekebisha mambo hayo yote. Makala sasa ibaki. --Baba Tabita (majadiliano) 21:17, 8 Desemba 2016 (UTC)