Majadiliano:Mwezi mpevu sana
Mandhari
Nimekuta jina "mwezi mkuu" kwa maana ya mwezi mpevu. Unaonaje? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:00, 17 Novemba 2016 (UTC)
- Nilitafakari pia "mwezi mpevu mkuu". "Mwezi mkuu" labda inaweza kugongana na mahitaji katika mfumo wa sayari yenye miezi mingi... Unaonaje, tuhamishe?Kipala (majadiliano) 15:47, 17 Novemba 2016 (UTC)