Majadiliano:Mwanamalundi

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Asante kwa mchango ila tuna tayari makala ya Ngw'anamalundi (Mwanamalundi). Tafadhali ulinganishe mkala hizo mbili; kwa muundo wa makala ile ya awali inalingana zaidi na umbo la makala ya kamusi elezo; inawezakana matini uliyoleta ina habari za nyongeza; tafadhali angalia uwezekano kuongeza habari kutoka matini yako katika ile ya awali ili zote mbili ziweza kuunganishwa. Je una marejeo kwa matini yako? Hii ingekuwa muhimu ya kuionyesha . Kipala (majadiliano) 19:03, 1 Oktoba 2020 (UTC)[jibu]

Inaonekana makala hiyo ina matini iliyonakiliwa, mfano [1] ambayo haikubaliki. Hivyo naongeza alama ya kufuta makala hiyo. Kipala (majadiliano) 19:13, 1 Oktoba 2020 (UTC)[jibu]