Majadiliano:Muungano wa Afrika
Mandhari
Haifai kuunganishwa na "Umoja wa Muungano wa Afrika". Umoja huu ulikuwa shirika la kimataifa, lakini hapa makala inahusu harakati ya kujenga umoja wa Afrika. --Kipala (majadiliano) 22:23, 7 Agosti 2010 (UTC)
- Mimi ningeweka kichwa "Muungano wa Waafrika", kwa kuwa ni pamoja na watu wa nje ya bara wenye asili ya Afrika. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:51, 22 Februari 2015 (UTC)