Majadiliano:Mto Shipingue

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nahisi tahajia "Xi" ni Kireno. Kwa Kiswahili hatutumii X hasa kwa majina ya Afrika ya Mashariki. Naona heri tutumie tahajia "Shipingue" (ingawa nina wasiwasi pia kuhusu "gue", inawezekana wenyeji wanasema "Shipingwe"). Ni mto wa mpakani unaoishia katika Mto Messinge (Mesenji? Missinji?) na huu unaendelea kuishia Ruvuma.

Tazama pia http://www.getamap.net/maps/tanzania/tanzania_(general)/_xipingue/:

Xipingue (Xipingue) is a stream (class H - Hydrographic) in Ruvuma Region (Tanzania (general)), Tanzania (Africa) with the region font code of Africa/Middle East. It is located at an elevation of 581 meters above sea level. Xipingue is also known as Shipingue, Xipingue. Its coordinates are 11°34'60" S and 35°24'0" E in DMS (Degrees Minutes Seconds) or -11.5833 and 35.4 (in decimal degrees). Its UTM position is YN61 and its Joint Operation Graphics reference is SC36-16. Kipala (majadiliano) 07:44, 14 Mei 2018 (UTC)[jibu]

Sawasawa. Mimi nimechukua jina kama lilivyo, nikijua katika maeneo hayo kuna athari ya lugha za click-sounds. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:41, 14 Mei 2018 (UTC)[jibu]