Majadiliano:Mpako wa wagonjwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Samahani kidogo. Hii ni "Mpako" au Upako? Mara nyingi nasikia wakiita Upako na si Mpako! Sijui kwa upande wenu wakubwaFace-smile-big.svg--Mwanaharakati (Longa) 09:21, 24 Desemba 2008 (UTC)

Ni kweli kwamba baadhi ya madhehebu, hasa ya Kilokole, yanaweza yakasema Upako, lakini hawana sakramenti hii ya wagonjwa. Sisi ambao tunayo tunaiita Mpako, na nadhani ni sahihi zaidi. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:09, 25 Desemba 2008 (UTC)
Hapo sawa. Nilikuwa sijui kama mnataratibu tofauti! Nilifikiri yote ni sawa ilhali sisawa, basi endelea tu nduguFace-smile-big.svg--Mwanaharakati (Longa) 05:36, 27 Desemba 2008 (UTC)