Majadiliano:Moses Kulola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Inaonekana makala hii inaandikwa na mwenyewe; hajui wala hajajaribu kujifunza namna gani ya kutunga makala ya wikipedia. Ama inahaririwa kulingana na kanuni za wikipedia au ifutwe. Mwandishi anashauriwa kujiandikisha na kutafuta ushauri. Kipala (majadiliano)

Kwa vile ni askofu mkuu wa kanisa moja la Tanzania, angestahili kuwa na makala. Nimerekebisha makala kufuatana na kanuni za wikipedia. --Baba Tabita (majadiliano) 09:02, 2 Januari 2013 (UTC)
Asante kwa marekebisho! Kipala (majadiliano) 14:33, 3 Januari 2013 (UTC)