Majadiliano:Mkoa wa Banaadir

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Benaadir (Kisomali: Banaadir‎, Kiarabu: بنادر‎, Kiitalia: Benadir) ni mkoa wa kiutawala uliopo kusini mashariki mwa Somalia. [1] Mkoa huu una eneo sawa na jiji la Mogadishu ambao ndio jiji kuu la nchi ya Somalia. Mkoa huu umepakana kaskazini magharibi na mto wa Shabelle na pia kusini mashariki umepakana na Bahari ya Somali. ]]. [2]. Mkoa huu una idadi kubwa sana ya watu ikikadriwa kuwa ni watu 1,650,227 mnamo mwaka 2014. [3]

  1. "Somalia". The World Factbook. Langley, Virginia: Central Intelligence Agency. Iliwekwa mnamo 23 March 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Eno, Omar A., Mohamed A. Eno, and Dan Van Lehman. "Defining the problem in Somalia: perspectives from the southern minorities." Journal of the Anglo-Somali Society 47 (2010): 19-30.
  3. "Population Estimation Survey 2014 for the 18 Pre-War Regions of Somalia". United Nations Population Fund. Iliwekwa mnamo 23 October 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)