Majadiliano:Mitaguso ya kiekumene

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Iangaliwe![hariri chanzo]

Makala hii ni pendekezo la kuchukua nafasi ya "Mtaguso Mkuu". Makala ile inasimama upande wa mafundisho ya kikatoliki mno. Kwa hiyo nimetumia sehemu zake (orodha) nikajaribu kuiweka kwa namna inayolingana zaidi na mtindo wetu. Naomba wenzangu waiangalie! --Kipala (majadiliano) 21:08, 16 Novemba 2008 (UTC)