Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Meneja wa vipaji

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tusubiri jibu la Muddyb. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:57, 6 Machi 2019 (UTC)[jibu]

Siku hizi kuna mambo kweli. Anajaribu kurejea neno: https://en.wikipedia.org/wiki/Talent_manager - heri kutumia Kiswahili cha kawaida halafu hiki tuweke kama zaida ndani ya mabano. NI kweli wanatumia, lakini sioni kwa waandishi wakubwa kutumia wala kuandika katika fatwa zao. Ni neno maarufu sana kati ya 2013 na 2015, lakini hata hivi karibuni bado wanatumia japo sishauri sisi tuifanye iwe rasmi kwetu. Tubaki na meneja wa vipaji!--'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 20:10, 7 Machi 2019 (UTC)[jibu]