Majadiliano:Mbangi-katani
Mandhari
Mbangi
[hariri chanzo]Mmea unaoitwa "en:hemp" kwa Kiingereza unapatikana Afrika kwa jina la mbangi, ambao makala yake iko. Kwa Kiswahili inaweza kuchanganywa na mkatani (makala yetu leo hii ina makosa) kutokana na matumizi yake kwa aina ya kamba. Hapa tunahitaji majadiliano. Hata hivyo napendekeza kuhamisha sehemu ya "Matumizi" ya makala hii kwenda "mbangi". Kipala (majadiliano) 05:39, 3 Julai 2020 (UTC)