Majadiliano:Masafa ya mawimbi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Salaam. Nishaumbuka! Nimekuha hapa harakaharaka kuangalia kiungo cha Kiingereza labda nitapanua wazo - nimekuta viungo kwenda lugha nyingine hakuna na sijui maana ya "LUKOKA"!--MwanaharakatiLonga 06:18, 16 Machi 2015 (UTC)

Kweli kabisa. Nilisahau usiku kuweka interwiki pia jina la Kiingereza. Asante. Pia kweli "lukoka" ni neno la ajabu, nimeipata KAST (ambapo mara nyingi pana mashaka je neno liko kweli??) na pia kamusi ya Kijerumani-Kiswahili kwa hiyo nilifikiri "labda". Nadhani iko kati ya mambo ambayo Waswahili wanajadili kwa kutumia neno la Kiingereza pekee. Tufanyeje? Kipala (majadiliano) 13:39, 16 Machi 2015 (UTC)

Baada ya kuchungulia upya nilikumbushwa kuhusu neno hili "masafa ya mawimbi" ambayo lilitumika tangu muda mrefu lakini kwa ajabu hawakutumia katika KAST. 14:56, 28 Aprili 2017 (UTC)