Majadiliano:Maneno Lusasi
Mandhari
Mchangiaji wa makala hii anaombwa sana kujiandikisha ili tupate kuwasiliana na kusaidiana kuhusu makala hii. Muundo jinsi ilivyo inahitaji masahihisho mengi kulingana na Msaada_wa_kuanzisha_makala na wikipedia:Mwongozo. Kipala (majadiliano) 10:56, 7 Oktoba 2010 (UTC)
- Afadhali mwenzako nimebahatika kusoma makala yote. Kwanza kajiandika mwenyewe na habari alizoandika hazina maana yoyote kwa kamusi elezo. Maneno Lusasi ni nani? Hata mkim-google haileti kitu cha maana hata kidogo. Si mwanamuziki, mwigizaji, mshairi, wala nani. Tuvute subra halafu kisu tu!--MwanaharakatiLonga 12:27, 7 Oktoba 2010 (UTC)
- BT, ameelekeza mahali pake. Lakini yaliyomo ndani ya ukurasa hayafai hata kidogo. Angalau mwandishi angejisajili tungemwonesha njia na hata kumpa moyo wa uendelezi wa kuandika makala, huruma, tangu aandike hii amekuwa mtu mwenye kubadili anwani mara kwa mara huku akisanifisha zaidi makala hii isiyokuwa na kichwa wala mguu. Subira imetosha - ifike kipindi maamuzi yapite!--MwanaharakatiLonga 06:38, 19 Oktoba 2010 (UTC)