Majadiliano:Madeleine Albright
Mandhari
Ukosoaji
[hariri chanzo]Nimesahihisha sehemu mwantzoni iliyosema alikosolewa kutokana na vifo vya watoto maelfu kutokana na mabomu dhidi ya Yugoslavia na Iraki. Swali la vifo vya watoto wengi lilitokea si kutokana na vita bali vikwazo vya kiuchumi dhidi Iraki. Kipala (majadiliano) 07:20, 25 Machi 2022 (UTC)