Majadiliano:Machansela wa Ujerumani
Mandhari
Ni kweli kabisa kuwa "Hakuna Jamhuri ya Watu wa Ujerumani. Lakini kwa hila za Kiswahili, waweza kutaja nchi ya jamhuri ukiwa umejumlisha na watu kama msisitzo fulani! Na ndiyomaana nikaandika Jamhuri ya watu wa Ujerumani, ilhali hamna sentensi hizo kwa kawaida. Ni taratibu za kutoa heshima kwa nchi fulani hasa za Jamhuri. Si kitu. Ni vyema tukiwekana sawa!! Karibu tena.--Mwanaharakati (majadiliano) 05:54, 22 Agosti 2008 (UTC)