Majadiliano:Lugha rasmi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

nasikia habari kuhusu lugha ya taifa ya tanzania wengine usema ni kiswahili lakini apo apo wengine usema tanzania inajitambulisha kwa lugha ya kingereza je kunaukweli apa?

Salam. Umekuja mahali sipo. LAKINI labda naweza kukusaidia maarifa fulani ambayo nimeyapata kwa Bwana Oliver Stegen (mwanaisimu hapa Wikipedia). Kiswahili ni lugha rasmi na ni lugha ya taifa nchini Tanzania. Kiingereza ni lugha rasmi na si lugha ya taifa nchini Tanzania. Urasmi wake unakuja pale, katika ngazi ya kiserikali na maofisi hutumia Kiingereza kikazi na kadhalika. Lakini urasmni wake hauupi haki ya kuwa lugha ya taifa. Hivyo basi, si lugha ya taifa, bali lugha rasmi! Usipoolewa, uliza tena nitakusaidia zaidi! Wasalaaam!--MwanaharakatiLonga 11:21, 26 Mei 2011 (UTC)