Majadiliano:Lucrecia Covelo

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Umaarufu[hariri chanzo]

MAkala haionyeshi kwa nini mtaalamu huyu anastahili makala; mtungaji hakutafsiri matokeo muhimu ya kazi yake. Kipala (majadiliano) 19:14, 22 Mei 2023 (UTC)[jibu]

Pia Habari haishabiiani na kichwa chake au lengo la makala. Ikiwezekana Ifutwe tu. Olimasy (majadiliano)