Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Liebowitz day

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala ni utafsiri mbaya wa mashine - chanzo ni makala ya Kiingereza ambayo ni mzaha tu. Ifutwe? Kipala (majadiliano) 11:43, 14 Januari 2011 (UTC)[jibu]

Nilivyoina kwa mara ya kwanza sikuona la kufanya. Kumbe, kuna wanaonajua! Haina maana hata nilivyoina mimi. Ukiona inafaa kufutwa, basi twende kazi!!!!!!!--MwanaharakatiLonga 14:48, 14 Januari 2011 (UTC)[jibu]