Majadiliano:Larry Abramson

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu Kwnya mjadala ya Larry Abrahamsom. Naomba usaidizi wenu kuili kuimarisha nakala hili na kuifanya iwe kama ya kiingereza


Heri isiwe kama Kiingereza bali kama Kiswahili! Unaweza kutafakari mpangilio na kutumia mbinu zinazoelezwa hapa kifupi na na hapa kirefu zaidi.
Unayo tayari "Wasifu", "Tiniwayo" (kwa kawaida tunaziita "Viungo vya Nje") na "Gallery" (afadhali kuswahilisha - piacha zake / kazi zake / mifano ya kazi)
Kwa mfano unaweza kupanga sehemu ndefu inayoitwa sasa "wasifu" habari kufuatana a) maisha binafsi pamoja na ankotoka, elimu na familia b) kazi na maendeleo yake.
HAlafu hapa kwenye majadiliano usisahau kutia sahihi kufuatana na maelezo hapa Wasalaam Kipala (majadiliano) 19:45, 2 Novemba 2011 (UTC)[jibu]