Majadiliano:Kujiua
Mandhari
Naona ukurasa huu ulianzishwa na Kipala, lakini baadaye waliufunika kwa tafsiri ya kompyuta. Je, ni sawa? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:58, 25 Februari 2018 (UTC)
- Pia jina la ukurasa nadhani lingekuwa "kujiua". --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:13, 25 Februari 2018 (UTC)