Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Kipoland

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Haikutakiwa kuwa katika sehemu ya Nahau za Kipoland? Maana sipati picha juu ya maana ya neno "frasisi". Oliver na Kipala naomba nisaidieni juu ya hili.--Mwanaharakati (majadiliano) 15:24, 30 Julai 2008 (UTC)[jibu]

Nimeondoa sehemu kubwa ya orodha ya maneno ya Kipoland. Inaonekana ya kwamba mchangiaji alinakili orodha hii kutoka mahali; kwa sababu alinakili vichwa vya Kipoland katika orodha. Sioni maana kujaza kurasa zetu na maneno mengi hata kama mifano kadhaa ni sawa kama mfano tu. Heri angeweka kiungo kwa mahali aliponakili orodha ile. --Kipala (majadiliano) 06:34, 2 Septemba 2008 (UTC)[jibu]
Naunga mkono hoja hii, na ndiyomaana sikuchukua hatua hadi hapo ulikpokuja na kuweka vinavyofaa!! Tusonge.--Mwanaharakati (majadiliano) 09:02, 2 Septemba 2008 (UTC)[jibu]