Majadiliano:Kikunde

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Asante mchangiaji!![hariri chanzo]

Nimefurahi sana kuona nyongeza. Mwenye kuongeza alikuwa mchangiaji ambaye hajatoa jina lake. Hata hivyo ni tumaini langu ya kwamba wengine watafuata na kutumia nafasi ya makala za mbegu kuhusu mahali mbalimbali nchini! Tuendelee kujenga kamusi hii kwa pamoja! --Kipala (majadiliano) 02:28, 12 Januari 2009 (UTC)[reply]