Majadiliano:Karne ya 1 KK
Mandhari
Nimeingiza jedwali la miaka lakini mwaka 0 unaotajwa haujawahi kuwepo. Nani arekebishe? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:35, 20 Desemba 2015 (UTC)
- Riccardo mpendwa, ilhali ni wakati wa Krismasi, kumbe inatokea ya kwamba matakwa fulani yanatimizwa! Kipala (majadiliano) 14:03, 20 Desemba 2015 (UTC)
- Kweli! Lakini sasa shida imesogea tu: kila karne haina miaka 99, bali 100! Inabidi ku-shift mwaka 100 KK katika karne ya 1 KK, mwaka 200 KK ... Inawezekana? Shalom! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:25, 22 Desemba 2015 (UTC)