Majadiliano:Kamusi za Kiswahili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiitaliano - Kiitalia[hariri chanzo]

Tazama makala Kiitalia - Lugha za Kirumi. Si lazima tukiweka viungo lakini heri tusiunde maumbo mengi mno. Nakubali ya kwamba "Kiitaliano" hutumiwa kati ya wasemaji wa Kiswahili - lakini ni kama "Kiinglish" inayosikika pia. --Kipala 00:56, 3 Desemba 2007 (UTC)