Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Kampuni ya Huduma za Meli

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Je, inakubalika? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:04, 13 Oktoba 2014 (UTC)[jibu]

Habari Riccardo. Naomba kuuliza, kwa nini isikubalike? Ali Fazal (majadiliano) 13:37, 13 Oktoba 2014 (UTC)[jibu]
Nimewauliza wenzangu kwa sababu Wikipedia si mahali pa biashara na propaganda. Taarifa ulizoandika si za aina au zenye nia hiyo? Ni swali, si jibu. Kuuliza si ujinga. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:42, 14 Oktoba 2014 (UTC)[jibu]
Asante Riccardo kwa kunijibu. Nakubali nawe kwamba hapa si mahali pa kutangaza biashara. Lakini na amini makala hii kina malengo cha 'ki-encyclopedic content'. Na naamini editors wengine watasaidia kuiendelza zaidi. Ali Fazal (majadiliano) 20:02, 15 Oktoba 2014 (UTC)[jibu]