Majadiliano:Jua Kali
Mandhari
FUPI
[hariri chanzo]Makala ni fupi sana. Pengine ungesoma mfano wa makala za TAMTHILIYA namna zianvyoandikwa. Ukisoma andiko hili, hupati kitu kabisa. Angalau ingekuwa na aya moja iliyoshiba. Tamthilia haitaji mtayarishaji, mwandishi, ilianza mwaka gani, inarushwa idhaa gani, inatoka nchi gani, etc, etc.... Muddyb Mwanaharakati Longa 12:06, 28 Juni 2024 (UTC)