Nenda kwa yaliyomo

Jua Kali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jua Kali ni jina la kutaja tamthilia inayorushwa hewani kupitia DsTV. Tamthiliya hii imeundwa na kutayarishwa na Lamata Leah. Maudhi ya tamthilia yanagusia utofauti wa maisha, furaha, huzuni, uchoyo na usaliti. [1] Tamthilia ilianza kuruka tangu 2021 hadi sasa. Aprili 2024, mtandao wa Instagram ulilipuka kwa maoni hasi juu ya ubadilishwaji wa wahusika katika tamthilia hii. Muhusika Maria ambaye ulichezwa na Mimi Mars ulileta mtafaruku mkubwa kwa wapenzi wa na wafuatiliaji wa tamthilia hii. Hata hivyo, Lamata aliendelea na msimamo wake wa kubadili muhusika huyo kwenda la Elizabeth Michael.[2]

Washiriki wa Tamthilia ya Jua Kali[hariri | hariri chanzo]

  1. George
  2. Sophia
  3. Maria
  4. Professa Bill
  5. Auntie Zai
  6. Naira
  7. Bibi Anna
  8. Kenzo
  9. Vivian
  10. Love
  11. Felix
  12. Maria
  13. Suzana
  14. Michael


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.dstv.com/maishamagicplus/en-tz/show/jua-kali
  2. "Controversy erupts over cast changes in bongo series 'Jua Kali'". The Citizen (kwa Kiingereza). 2024-04-06. Iliwekwa mnamo 2024-06-28.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jua Kali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.