Majadiliano:Joseph Kony

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Here is a partial translation of a longer article: [1] (by mtumiaji:chamaroa). There may be something worth merging. Sj (majadiliano) 05:21, 24 Desemba 2009 (UTC)


Kwa mhariri wa tar. 26.05.2010[hariri chanzo]

Bwana Chamaroa salamu! Nimeona jinsi ulivyopanusha makala kuhusu Joseph Kony ukafanya kazi kubwa. Ila tu nina neno naomba uangalie upya kwa sababu hizi a) nakala ilikuwepo tayari na wewe ulifuta maandishi yote yaliyokuwepo awali; hii hatutakiwi kufanya bila kuonya kwanza kwenye ukurasa ya majadiliano (tukiona makosa mazito au kama makala ilikuwa fupi mno ya kutoridhisha) b) ni saswa kabisa kupanusha makala, kuongeza habari na kusahihisha makosa lakini kufuta bila taarifa ya awali tusifanye. Kwanza kwa sababu ni verma kuheshimu kazi iliyotangulia (hata kama ilikuwa ya makosa) pili kuepukana na ugomvi kati ya waandishi. c) uliongeza habari nyingi lakini muundo wa awali ulipendeza zaidi (picha, vichwa vidogo vya kumsaidia msomaji)

Kwa hiyo naomba uangalie upya. Ushauri wangu:

  • rudi katika hali ya uhariri, kopi yote na kuihifadhi katika ukurasa wa Word (au programu unayotumia)
  • fungua "historia" ya makala na ingia katika hali ya makala kabla ya hujaandika.
  • humo ongeza habari zako za ziada chini ya vichwa husika au kwa kuunda vichwa vipya.
  • halafu hafadhi yote kama umbo mpya wa nakala.

Ukihitaji msaada niko tayari kukusaidia. Katika utaratibu wa wikipedia ningefanya revert tu lakini hii inamaanisha kufuta kazi yako yote na sitaki kukukatisha moyo kwa hiyo naomba tuwasiliane jinsi gani kuunganisha umbo la awali na umbo lako. Kipala (majadiliano) 12:24, 26 Mei 2010 (UTC)