Majadiliano:Jamhuri ya Dominikana

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jina linatafsiriwa Jamhuri wa Kidominiko, yaani ya Mt. Dominiko, au Dominikana. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:05, 15 Oktoba 2014 (UTC)[jibu]

Kimsingi ni kweli. Jina ni dhambi la siku zangu za kale. Ningependelea Jamhuri ya Dominikana maana ni karibu zaidikwa jina la wenyewe. Unaonaje? Kipala (majadiliano) 17:15, 15 Oktoba 2014 (UTC)[jibu]