Majadiliano:Injini ya ndege

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mada inaweza kuwa na maana. Kwa bahati mbaya maelezo si sahihi, hayaeleweki, hayaleti picha za aina mbalimbali za injini za ndege na pia yanajaa makosa ya lugha. Ama iandikwe upya au kufutwa, isibaki jinsi ilivyo.Kipala (majadiliano) 21:06, 4 Agosti 2019 (UTC)[jibu]