Majadiliano:Immagine & poesia

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Naona inafaa kuhamishwa na kupewa jina la Kiswahili; napendekeza "Taswira & Shairi"; kwanza hatupendi jina la makala kwa HERUFI KUBWA, pili kwa kutafuta ni afadhali kutenganisha maneno; tatu tuwe na jina la Kiswahili; linganisha majadilianokwenye ukurasa wa en:wikipedia. Kama hakuna mwenye neo nahamisha kesho. Kipala (majadiliano) 13:17, 13 Oktoba 2011 (UTC)[jibu]

Nimeona kama inawezekana ukifuata mwongozo wa Wikipedia ya Kiingereza. LAKINI pia nimeona katika Wikipedia nyingi wameandika kwa jina halisi kama ionekanavyo hapa kwetu. Ukiona inafaa kuileta katika Kiswahili, haya! Taswira na Shairi?--MwanaharakatiLonga 16:59, 13 Oktoba 2011 (UTC)[jibu]
Haya mwenzangu - unaona jina afadhali? Kimsingi naona hii ya herufi kuvwa tusitumie hata kama wenyewe wanitumia. 91.98.113.164 16:08, 14 Oktoba 2011 (UTC)[jibu]
Ah, Kipala, mkubwa ni mkubwa tu bwana! Endelea tu. Naona ni sawa tu usemavyo!--MwanaharakatiLonga 04:33, 15 Oktoba 2011 (UTC)[jibu]

The article has been deleted in about 40 languages during two weeks. It is cross-wiki spam and not notable, see [1] for more info. The image Ferlinghetti meets Immagine&Poesia representatives.jpg is being considered for deletion in Commons as a hoax (see [2]). K9re11 (majadiliano) 22:01, 16 Machi 2016 (UTC)[jibu]

Baada ya kusoma majadiliano kwenye en.wiki naona inaweza kubaki. hata kama kule waliamua kufuta naona sababu za kufuta hazina nguvu sana. basi ibaki. Kipala (majadiliano) 07:01, 30 Machi 2016 (UTC)[jibu]