Majadiliano:Hifadhi ya Ruaha

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Isimila[hariri chanzo]

Habari za Isimila zimechanganywa kidogo; Isimila ni takriban 15-20 km pekee kutoka Iringa (kuelekea Mbeya) pia si ndani ya hifadhi ya Ruaha.

linganisha http://www.arts.ualberta.ca/~pwilloug/iringa.htm --Kipala (majadiliano) 20:59, 8 Desemba 2009 (UTC)[jibu]