Majadiliano:Haramia
Mandhari
Jamii
[hariri chanzo]Jamii katika makala hii kwa kufuatana na Wikipedia kwa Kiingereza kama itafaa:
- International criminal law = sheria za uharifu za kimataifa?
- Piracy = Uharamia
- Pirates = Maharamia
- Illegal occupations = Kazi haramu
- Greek loanwords = ??
Mzee wangu, naomba sawazisha angalau ilete maana. Pili, sidhani kama tunaulazima wa kuwa na JAMII zote hizo. Basi ninategemea jibu kutoka kwako.--Mwanaharakati (Longa) 05:39, 15 Aprili 2009 (UTC)
Asante kwa kudokeza kuwa jamii zilisahauliwa. --Kipala (majadiliano) 13:25, 15 Aprili 2009 (UTC)