Majadiliano:Global Voices Online

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Makala hii tayari ipo. Hakuna ulazima wa kuwepo kwa makala hii, ni bora kuilekeza katika "Global Voices" kuliko kuwa na makala hii. Labda ndugu aliyeumba makala hii hakuangalia kama makala ipo ama hamna gani. Nashauri ifutwe kisha ielekezwe kwa Global Voices, mnaonaje?--Mwanaharakati (majadiliano) 09:50, 8 Aprili 2008 (UTC)[reply]