Global Voices Online

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Logo ya Global Voices

Global Voices ni mradi ulio chini ya Kituo cha Intaneti na Jamii cha Berkman (The Berkman Center for Internet and Society) kilicho chini ya Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Harvard.

Mradi huo una blogu ambayo kazi yake ni kuandika muhtasari wa masuala yanayoandikwa na kuzungumziwa katika blogu mbalimbali duniani.

Waanzilishi wa mradi huo ni Ethan Zuckerman na Rebecca Mackinonn.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]