Majadiliano:Frederick Lugard

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Frederick John Dealtry Lugard alikuwa manajeshi,mamluki,mpelelezi na mtawala wa ukoloni.Alikuwa Gavana wa HongKong kuanzia 1907 hadi 1912,Gavana wa mwisho wa Nchi ya lindwa ya Nigeria kusini kuanzia 1912 hadi 1914 Balozi wa kwanza kuanzia 1900 hadi 1906 na Gavana wa mwisho kuanzia 1912 hadi 1914 wa Nchi ya Lindwa ya nigeria kaskazini na Gavana mkuu wa kwanza Nigeria kuanzia 1914 hadi 1919.

Alizaliwa Madras (Chennai), India, lakini alilelewa katika Worcester, Uingereza.