Majadiliano:Facebook

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Facebook yaitwa vipi kwa Kiswahili?

Facebook ni jina na jina kwa kawaida haitafsiriwi - isipokuwa kama wenyewe wanatangaza jina la pekee kwa ajili ya Kiswahili. Sawa na google .k. Kipala (majadiliano) 06:36, 26 Oktoba 2015 (UTC)


Futa makala[hariri chanzo]

Tafsiri na lugha ni mbaya , ama ni ya kompyuta au ya mhariri mvivu. Isibaki ilivyo. Ingawa lemma inapendwa sana, sioni faida ibaki kama haiboreshwi. Karibu kuchangia hapa Wikipedia:Makala_kwa_ufutaji#Facebook Kipala (majadiliano) 06:36, 26 Oktoba 2015 (UTC)