Majadiliano:Elki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Uhamisho wa Elki hadi Muusi[hariri chanzo]

Sikubali uhamisho wa Elki hadi Muusi. Hata sikuona sababu yake. Tafadhali tueleze. Tafsiri ya ukurasa wa Kiingereza "Moose" si sababu nzuri. Jina "Elk" ni la zamani zaidi na majina yafananayo yamo kwa lugha nyingine. "Moose" hutumika huko Marekani tu. Ningependa kutengua uhamisho huu. ChriKo (majadiliano) 23:40, 19 Machi 2013 (UTC)Reply[reply]

Kawaida yangu, napenda sana kuheshima watu na uga zao. Katika anga hii, huna pingamizi. Endelea na utenguzi wako, ChriKo!--MwanaharakatiLonga 06:34, 25 Machi 2013 (UTC)Reply[reply]