Majadiliano:Deuterokanoni

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Protestanti na vitabu vya deuterokanoni[hariri chanzo]

Je ni Waprotestanti gani wanaokubali vitabu vya deuterokanoni kuwa vitabu kamili vya Biblia? Naomba watajwe au tusahihishe sehemu hii. --Kipala (majadiliano) 14:53, 29 Novemba 2008 (UTC)[jibu]

Ninaowajua mimi ni baadhi ya Waanglikana. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:16, 30 Novemba 2008 (UTC)[jibu]
Vitabu vya Deuterokanoni vinapatikana katika King James Version. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:17, 30 Novemba 2008 (UTC)[jibu]
Lakini kwa maana ya pekee kama vipo - linganisha en:Authorized King James Version sehemu ya "Apocrypha". Yaani havipo katika matoleo yote ya King James Version, kama vipo tena kwa maelewano ya kwamba si sawa na vitabu vingine. --Kipala (majadiliano) 10:35, 30 Novemba 2008 (UTC)[jibu]