Majadiliano:DNA

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

DNA au ADN?[hariri chanzo]

Kwa nini mmechagua DNA kama kichwa cha ukarasa huu? Hii ni kifupi cha jina la Kiingereza la molekuli. Nafikiri ADN ni bora. Hata katika lugha nyingine ADN hutumika, k.m. kwa Kifaransa. ChriKo (majadiliano) 21:36, 12 Machi 2015 (UTC)[jibu]

Katika mantiki ya lugha ni kweli kabisa unachosema. Kichwa hiki ni cha miaka kadhaa, hata tunaweza kuihamisha. Lakini nisipokosei habari za asidi hii inafundishwa nchini EAT na EAK kwa Kiingereza pekee, sidhani iko katika muhtasari ya shule za msingi. Kwa hiyo nahisi karibu kila mtu aliyesikia habari za genetiki katika Afrika ya Mashariki alijifunza "DNA" (di-en-e). Hata KAST ina "Deoksiribonyukilia asidi‎" si kinyume. ADN sijawahi kuona. Lakini wa kutumia vielekezo tunaweza kuihamisha na bado kila mtu anayeitafuta ataona makala. Wacha wengine waseme. Kipala (majadiliano) 22:35, 12 Machi 2015 (UTC)[jibu]