Majadiliano:Chombo cha kukamulia cha Warangi

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Je inawezekana kutaja mjao au ukubwa wa chombo hiki? Ni zaidi sufuria au kikombe kikubwa ? --Kipala (majadiliano) 21:15, 27 Machi 2008 (UTC)[jibu]

Sawa, nimeutaja. Ingawa nilikuwa nimeshaandika kwamba ukubwa wake ni kama kinu kidogo. Lakini umeuliza vizuri, na kutaja mjao kamili kutasaidia msomaji. Asante! --Baba Tabita (majadiliano) 12:14, 28 Machi 2008 (UTC)[jibu]