Majadiliano:Chama cha Kikristo cha Kidemokrasia cha Ujerumani

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Je si afadhali makala ihamishwe kwenda Chama cha Kikristo cha Kidemokrasia cha Ujerumani? Yaani sioni sababu kutaja chama cha Kijerumani kwa jina la Kiingereza. --Kipala (majadiliano) 20:58, 18 Septemba 2008 (UTC)[jibu]

Nilikuwa nikiangaika kuhusiana na jina hilo bila kuangalia majadiliano ya ukurasa husika! Na hisi nitakuwa nimekulupuka, sasa nahamisha ukurasa kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili! Naendelea!!!--Mwanaharakati (majadiliano) 06:00, 22 Septemba 2008 (UTC)[jibu]