Majadiliano:Boutros Boutros-Ghali

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uhamisho huu kutoka Boutrous Boutrous-Ghali kwenda Boutros Boutros-Ghali - sawa kwa sababu ni tahajia iliyo kawaida tena ilikuwa rasmi kwa UM. Ingawa ni mchezo tu. Kwa tahajia ya Kiswahili jina lake ni "butrus" au "botros" kwa sababu Kiarabu kina herufi kimoja tu kwa "u" na "o". Na matamshi mara nyingi iko katikati. --Kipala (majadiliano) 16:56, 3 Septemba 2008 (UTC)[jibu]

Asante kwa maelezo. Ila jina lake ni la Kikopti, lugha ambayo hutofautisha "u" na "o", maana yake jina litamkwe "butros". Kwa vyovyote, makala ya Boutrous Boutrous-Ghali haikufutwa, inaelekea Boutros Boutros-Ghali sasa. Lakini kabla ya kusogeza makala, tahajia ya UM haikuwepo katika wiki yetu. Ndiyo maana. Kazi njema! --Baba Tabita (majadiliano) 11:43, 4 Septemba 2008 (UTC)[jibu]