Majadiliano:Bibi Titi Mohammed

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Sijui kwa nini umefuta masahihisho yangu... --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:42, 6 Aprili 2019 (UTC) (imehamishwa hapa kutoka Majadiliano_ya_mtumiaji:Kipala)

Uliniuliza kwa nini nilibadilisha. Kwa kweli sijui wala sikumbuki. Nikiitazama siwezi kuwaza mabadiliko yana kusudi gani. Hata nina mashaka kama ni kweli mabadiliko yangu, lakini siwezi kuwaza jinsi gani mwingine aliweza kuhariri kwa jina langu. Kama kosa langu, basi nisamehe. Nimeirudisha jinsi ulivyoiacha. Asante kwa kuuliza. Kipala (majadiliano) 10:49, 12 Aprili 2019 (UTC) (imehamishwa hapa kutoka Majadiliano_ya_mtumiaji:Riccardo_Riccioni)