Majadiliano:Baraza la Kiswahili la Taifa
Mandhari
Usuli za Bakita
[hariri chanzo]Nimeondoa sehemu kuhusu "usuli" kwa sababu
- ) ilikuwa na makosa (Zanzibar haikutawaliwa na Ujerumani, hofu ya Umaksi haikuwa sababu ya kuchagua Kiswahili kama lugha za utawala)
- ) ilikosa marejeo / vyanzo kabisa
- ) ilikuwa na sehemu ya Kiingereza
- ) nilishindwa kusahihisha sehemu kwa sababu sina habari kuhusu historia hii. Kipala (majadiliano) 12:28, 7 Januari 2022 (UTC)