Majadiliano:Barabara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ubora wa barabara[hariri chanzo]

Nyongeza kuhusu ubora wa barabara zilitungwa kwa nia nzuri lakini kwa bahati mbaya bila kutaja habari za kimsingi, teknolojia na istilahi zinazohitajika: kama kusudi la barabara, makadirio ya matumizi, muundo kama matabaka ya msingi na uso (linganisha: Njia_ya_reli#Muundo_wa_ujenzi. Sehemu hii jinsi ilivyo sasa (19 Juni 2019) inahitaji marekebisho.Kipala (majadiliano) 15:05, 19 Juni 2019 (UTC)