Majadiliano:Audax Kahendaguza Vedasto
Mandhari
Makala kwa bahati mbaya haina ushahidi kwamba mhsika ana maarufu wowote, na hii inatokana na kutoonyesha vyanzo vyovyote. Pia umbo haliwezi kubaki lisahihishwe maana HATUKUBALI HERUFI KUBWA. Kipala (majadiliano) 21:18, 26 Septemba 2019 (UTC)