Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Anime

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miaka 12 iliyopita by Kipala in topic Irekebishwe au kufutwa

Irekebishwe au kufutwa

[hariri chanzo]

Makala inaonekana ama ni tafsiri ya kompyuta au imefanywa na mtu asiyejua Kiswahili. Haieleweki. Irekebishwa haraka au kufutwa. Kipala (majadiliano) 11:12, 4 Novemba 2012 (UTC)Reply

Nimeboresha, Mzee Wangu.--MwanaharakatiLonga 16:22, 5 Novemba 2012 (UTC)Reply
Kumbe, ajabu: sasa naelewa makala inahusu nini! Asante Mkuu wangu! Kipala (majadiliano) 21:10, 5 Novemba 2012 (UTC)Reply