Majadiliano:American Association of People with Disabilities
Mandhari
Jina liwe la Kiswahili
[hariri chanzo]Chama cha Watu wenye Ulemavu Marekani... Kwanini ibaki na Uzungu wake? MuddybLonga 06:03, 12 Septemba 2024 (UTC)
- Tulivyokubaliana na marehemu Kipala, majina ya vyama n.k. ni afadhali yabaki katika lugha asili. Tukitaka kuamua tofauti, inawezekana. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:21, 14 Septemba 2024 (UTC)