Majadiliano:Aleksander Mashuhuri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ancient Macedonia, not Republic of Macedonia[hariri chanzo]

There is a link on the page about Alexander that reads Macedonia and leads to the Republic of Macedonia. The Ancient Kingdom of Macedon was an entirely different country. The Republic of Macedonia is a slavic nation.

Aleksander Mashuhuri -Aleksander Mkuu[hariri chanzo]

Napendekeza kubadilisha kichwa cha makala hii. Desturi ya lugha za Ulaya ya kumtaja mtu mashuhuri kuwa "Great" (Kiing.), "Megas" (kigiriki), "magnus" (kilatini) , le Grand, der Große na kadhalika hutafsiriwa kama "Mkuu" kuliko "mashuhuri" nisipokosei. Nisiposikia kwingine nitaibadilisha. --Kipala 15:02, 14 Septemba 2006 (UTC)

Naunga mkono swala zima la kuataja makala hii kwa jina la "Aleksander Mkuu". Ni bora zaidi.--Mwanaharakati (Longa) 13:10, 30 Septemba 2008 (UTC)